Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
Mungu ibariki SimbaFt: Orlando Pirates 1 Vs 2 Simba.
Kila La Kheri Simba Sc Klabu Yenye Mafanikio Zaidi Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ibariki SimbaFt: Orlando Pirates 1 Vs 2 Simba.
Kila La Kheri Simba Sc Klabu Yenye Mafanikio Zaidi Tanzania.
Msiba hauna mwaliko, nipo hapa kujua msiba utasafirishwa au watazika uko uko S.AKuna shabiki mmoja wa mfuga ng"ombe kasema Manyele amchukue na yeye akamfanyie mambo nimewaza huko utopoloni kuna nini nimekosa jibu..Tuliw ww unafata nini hapa?
Umekumbuka maturubai maana msiba wako unaweza kugeuka sherehe maturabai yakasaidia pia.Msiba hauna mwaliko, nipo hapa kujua msiba utasafirishwa au watazika uko uko S.A
Ahsante sana sanaNimeliona goli moja SIMBA 1-0
Umesahau aliomba poo huyu boya wakoKwame Peprah Lazima Akwamishe Watu Leo [emoji4]View attachment 2198949
ZBC2Tv gani inarusha game ya TP Mazembe na Pyramids saivi?
Sio kufika tu ndio bingwa mtarajiwaTp Mazembe anaimaliza kazu huko, huyu anafika fainali msimu huu.
Mimi sio mganga ila wewe utakuwa ndo yule KUNZE.Tukifungwa tatu tuwapokee kwa kishindo Mashujaa wetu watakuwa wamejitahidi sana kupunguza idadi ya magoli
Kumbe na nyinyi mnafatilia CAFCC? Nilijua mpo busy na NBC.Sio kufika tu ndio bingwa mtarajiwa
ZBC2
Kabisa mkuu, zile kelele za kusema Simba Sc hana kikosi cha kucheza nusu fainali zitaisha leo.Leo ndo mwisho wa kelele.