Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Lovely. Jr mbona wana Soweto hawajajitokeza Orlando Stadium kwa wingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Wawa nae ananiongezea pressure
Tuta la kuzuia mmomonyokoHawa jamaa wanafika sana langoni Kwa Mikia..... wanaweza kupata tuta baadaye kidogo
Vip huko?Mliokuwa mnatamani kucheza kimataifa hivi hamjioni wenye bahati kuepukana na zahma kama hizi?
Tulia tunashinda hii game
Ikibidi iwe hivi, Wawa ana wenge sanaInonga asogee nyuma halafu Wawa asogee mbele.
[emoji16][emoji16][emoji16] Kwa hiyo tumekubaliana kwa pamoja leo kipigo hakikwepeki! Na pia tukubaliane tarehe 30 ya mwezi huu tutapigwa tena na wananchi!
Wawa ndiyo mtaalamu wa kutoa tuta hiloTuta la kuzuia mmomonyoko
pole sana.
Yana moto balaa sijui yamekula Nini 😀Haya majama yanakimbiza balaa