Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba watafute Goli waiue hii mechi.
Atafunga nani hilo goli! Maana leo mshambuliaji wenu Mugalu anachezeshwa kama kiungo mkabaji 😁😁😁

Pembeni kuna beki 2 wawili! Kushoto kuna beki 3 watatu, katikati kuna beki wakati 4!! 😁😁😁
 
Hawa jamaa wanacheza kasi bila utaratibu aiseee,

Watulieze mpira, watapata goli wanaweza pigwa moja wakapotea
 
Makolo wanakimbizwa na kikosi cha nyuki sijui kama watatoka salama
 
Hawa jamaa hawajui kutumia faulo karibu na goli......Mikia wanaweza kutoboa
 
Hakuna penati hapo. Waache janja janja
 
Wajinga hawa wanataka tuta la mchongo,kama mtanganyika nisiye wapenda mikia siwezi kubali

30' nyau nyau
 
Back
Top Bottom