denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Wacha uongo haupitiNimerelax tu nakunywa ulanzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha uongo haupitiNimerelax tu nakunywa ulanzi
Oyaa [emoji23]Nasikia jotonabaridi hgsggsgjy gademneitttt
Hata walitoka 1-1, hakuna namna ambayo Simba Sc anaweza kufanikiwa kucheza vizuri dk120 akiwa na upungufu wa mchezaji mmoja.Dk zina ongezwa.
Mechi kama hizi inabidi uwe makini sana, Simba walifanikiwa kabisa.Alikuwa anapambania timu
Kafanya uzembe gani kocha?Uzembe wa kocha, na hapa bado kuna Red ya Wawa.
Acha kukata tamaa mapema wewe! Mpira ni dk 90! Imagine mpaka sasa mshambuliaji wenu matata kabisa Kibu Dennis bado hajaingia! Akiingia unafikiri itakuwaje!It's over mkuu.
VAR ina makengengeza naona wamerudia sioni offside.
Ni VAR au replay?VAR ina makengengeza naona wamerudia sioni offside.
Wachezaji wenyewe wa kupaki bus hatuna.. Hii mechi ilikuwa iishie kwa Mkapa. Tulifanye uzembe mkubwa sana kukosa magoli ya kizembe ile siku.Watu wanaamini Sana kwenye kupaki basi ,matokeo yake ndio haya sasa...
Kwanini kasipite kamkangafu kangu hapa?Wacha uongo haupiti
Ilikua offsideVAR ina makengengeza naona wamerudia sioni offside.
Iangalie mikono ya jamaa aliyefunga vizuri.Offside ile
Ni VAR au replay?VAR ina makengengeza naona wamerudia sioni offside.