Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Kalewa Mkhombotikapombe anavuta bangi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalewa Mkhombotikapombe anavuta bangi sana
It's over mkuu.
Utopolo punguza pressureHawa jamaa nawao majinga jinga tu....Mikia pambaneni
Tumefunga mpendwa🤪
Kapombe nae bange sana 🤣🤣🤣Namna gani Kapombe hapa watazamaji
CAF confederations cup!!Unazungumzia kombe gani mkuu?
Dah!...hii mechi imenifanya nifikirie kupima presha kesho maana sio kwa wenge hili aisee...Tutatoboa lakinu kwa mbinde sana ... maharamia wametupania ...
Tulia wewe! Acha kupandisha midadi! Utaishia tu kubutua viti kama kocha wako Pablo.Mabeki wa simba wanafanya utopolo gani hapo mbona siwaelewi?
Huyo Muhango achungwe sana, kwanza ana hasira game nyingi anapigwa benchi.Huyu Gabadinho Mhango Lazima Awauee [emoji23]
Simba anasonga kwakuwa ndiyo malipokitana firt leg walianza kufunga kama sijakoseaKwanza uwezekano wa mpira kuisha hivi hivi, haupo! Lakini pia ikitokea, basi kuna dakika nyingine 30 za mateso. Baada ya hapo ndiyo matuta.