Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Jamani eeh hawa seychelles kuanzia leo ni ndugu zetu anapotoka huyu refa si tunakubaliana wapenzi wenzangu wa simba??
 
Penati hazina wenyewe, cha msingi wachezaji wa Simba wavae ujasiri, waache uoga kwani penati hazina mwenyewe.

Ila penati ya kwanza apige Kapombe na kwenye list asikose Shabalala.
 
Timepambana sn sn, hongera wachezaji wa simba. Kucheza dk zaid ya 30 pungufu sio kitu rahisi kwa kweli
 
Back
Top Bottom