Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Kuweni wqzalendo bwana au hamjui kuwa timu zikishinda wakina mzabzab tupanapa mwanya wakugeggeda maana warembo wanakuwa na furaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kagegedeni South.
 
Makolo muli bwanjii babaa

0qJ27.jpg
 
Simba imepambana kiume.mengine ni matokeo yauwanjani.sasa tuelekeze nguvu zetu tarehe 30 tujibondee mtani.
 
Yule inonga anajifanyaga yeye ndo anajua mpira kuliko wachezaji wote wa simba kumbe ni famba tu
Mara ajifanye CR7

Eti tutawapiga hapa hapa kwao

Akaishia kupiga hewa kama Joe Biden alivyosalimia hewa

Nyoko zake namsubiria hiyo 30/04

Mwenye ile video yake akitetemeka uwanjani aiweke hapa
 
Ilikuw Lazima Achinjwe Tu Kwakweli [emoji23]
Ila yote kwa yote. Pablo inabidi abe e lawama. Nilisema hapa kwamba the best way for simba ku go through ni kama wataenda sauz na kushbulia.

Hii style ya kupaki bus sio dna ya simba na unaona kabisa hawana tactics zozote za counter attack...hamna madhara kwa mpinzani.

Alijaribu hili kule berkane ikabuma, so angejua kabisa kwa hii style haina faida.
Ili kufika nusu na kuchukuwa ubingwa lazima tukubali kwamba unatakiwa uwe na timu ambayo inaweza kwenda ugenini na kupata japo point. Na sio wachukua point kwa mchovu wa kundi, kuchukuwa point kwa vigogo.
 
Tulia Tu Mkuu Si Unakumbuka Goli La RS Berkane Dhidi Yenu Lilivyokataliwa? Kwaio Hizi Error Ni Kawaida Tu Kwenye Football [emoji23]
Popoma 1 la MAKOLOKOLO FC nililiambia hiyo ndiyo kazi ya karma ambavyo inalipiza kisasi dhidi ya Berkane FC nikashangaa ghafla Jamaa kawa na jazba akinishutumu siko upande wao [emoji13]
 
Back
Top Bottom