SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Ya FA kwa kumpiga Pamba.Leo Tunafuzu nakuingia Nusu Fainali !!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya FA kwa kumpiga Pamba.Leo Tunafuzu nakuingia Nusu Fainali !!.
Mbona wanasema kabla ya kuzimia kalijinyea..!Kalitetemeka mbyaa aise azamehewe mnk alijuta San yaani baka alijuta sna kilichotokea is know how Simba is big aise alikuwa Kama mtu aliyepoteza kumbukumbu yaani alitetemeka San mnk nasikia muda mfupi badae alizimiaa kbsaa
Aaaaaah mapemaaaa tuuSimba nguvu moja mapema tu tunaua watu
[emoji16]Aaaaaah mapemaaaa tuu
Yes say more, brother.Simba Sc to the CAFCC semis, need I say more?
Akili imegoma kutulia.Mnyama anashinda watulize akili tu
Mazishi 30/4 inasikitisha sana ila ndio hivyoMnazika huko South Africa au mnasafirisha kurudisha Tanzania
Ajiandae kisaokolojiaMayele Ana Wazoom Tu [emoji23]
Nasi tukaliza vinubi tukiimba na kutazama nyikani. Naaam .... Mnyama yule alishindwa vibaya na jeshi lake la ulinzi wakiwa tisatisa wote wakatupiwa motoni.Amin Amin nakuambia,Leo hii kabla watu hawajaingia vitandani kulala,Simba Tyr itakuwa imefuzu nusu fainali
DahBahati yao tu. 11 vs 10 plus goli la offside. Kwa Simba hawa Orlando ni timu ya kawaida.
Pressure ili kuwa kubwa sana baada ya red card, na goli kuingia ... mentality za wachezaji zikabadilikainamaana hawanaga mazoezi ya penati yaan simba nzima n kapombe tu wanaboa sana
Kamati ya mapokezi nayo hamna tena kaziShughuli imeisha hukooo
Muda ni mwalimu naona mnajifariji lakini mjipange msije mkaanza tena maneno mengine ya mkosajiHasira tutamaliza kwa Uto