joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Zile dk 5 za mwanzo kasave mbili za hatari.Manula kajitahidi kwa kweli,maana simba wangeshatoka mapema ndani ya dakika 90,manula kawapa heshima kutoka kiume,hongera manula aliyewacost simba si mwingine ni mugalu