makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kaumia saana.Wapo wataokuwa na wakati mgumu kwenye haya matokeo ila kwa enonga itakuwa ni zaidi
Enonga kuna muda camera ilimuonesha akiwa anatetemeka sana baada ya kukosa ile penalty, sidhani kama mentality yake iko poa
Haya matokeo yamem-disgusting sana