Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Mambo yaliyo mtokea Inonga kukosa penalty, yalisha tutokea Yanga dhidi ya Ahly Said Bahanuzi alitulaza na viatu 2013.

Faulu ya Mugalu huku akijua kuna VAR, ni mtu anaepaswa kulaumiwa na kimsingi kama kule Ulaya, anapigwa benchi hadi anaoza. Kwa asilimia 99.99 Simba waliwawin Orlando! Ni huyu jamaa kasababisha kukatisha tamaa wenzake! Very bad!
 
Back
Top Bottom