Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Usije ukakimbia maana iyo ni game nyingine itakayowaongezea maumivuSimba ni Simba tuu
Hata hao Orando wakilala wanajua kabisa wamekutana na Tim Ngumu tena ya Kibabee.
Sasa uto wajipange Mbwa hawaa