Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Ahmeeeeed allyy goaaaaal whats the finish simba 3:1 orlando pirate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So sadImemuuma sana aisee
Mayele Anawazoom Tu [emoji1787]
Pablo sio wa kulaumiwa, mbn kipind cha kwanza tulicheza vzr? Kad ya mugalu imetucost sn sn. Timu imepambana sn najua weng walijua/kutarajia labda tungefungwa 5 huko lkn wachezaj wamepambana sn leo.Ila yote kwa yote. Pablo inabidi abe e lawama. Nilisema hapa kwamba the best way for simba ku go through ni kama wataenda sauz na kushbulia.
Hii style ya kupaki bus sio dna ya simba na unaona kabisa hawana tactics zozote za counter attack...hamna madhara kwa mpinzani.
Alijaribu hili kule berkane ikabuma, so angejua kabisa kwa hii style haina faida.
Ili kufika nusu na kuchukuwa ubingwa lazima tukubali kwamba unatakiwa uwe na timu ambayo inaweza kwenda ugenini na kupata japo point. Na sio wachukua point kwa mchovu wa kundi, kuchukuwa point kwa vigogo.
Naona wewe na mie tuna maana tofauti ya kucheza vizuri....yaani timu dakika 45 inamaliza bila shot on target, huko sio kucheza vizuri jombaa.Pablo sio wa kulaumiwa, mbn kipind cha kwanza tulicheza vzr? Kad ya mugalu imetucost sn sn. Timu imepambana sn najua weng walijua/kutarajia labda tungefungwa 5 huko lkn wachezaj wamepambana sn leo.
Na ndiyo ilikuwa dua ya mautopolo. Wanaume wamekufa kiume siyo wale waliokufa kibudu tena kwa kugeuzwa hasusa mbele na nyumaPablo sio wa kulaumiwa, mbn kipind cha kwanza tulicheza vzr? Kad ya mugalu imetucost sn sn. Timu imepambana sn najua weng walijua/kutarajia labda tungefungwa 5 huko lkn wachezaj wamepambana sn leo.
Kifo kina jinsia?Na ndiyo ilikuwa dua ya mautopolo. Wanaume wamekufa kiume siyo wale waliokufa kibudu tena kwa kugeuzwa hasusa mbele na nyuma
Kufa ni kufa tuNa ndiyo ilikuwa dua ya mautopolo. Wanaume wamekufa kiume siyo wale waliokufa kibudu tena kwa kugeuzwa hasusa mbele na nyuma
Utamjua Tu UsijaliNdiyo nanii?
Duh; hebu acha maneno ya kinaa aisee.Mji umepoa ka umeme umekatika.
Eeh Ndio, Kanakwambia Haya Mambo Kayasababisha Kapombeeeee Hahahahhagghhahah Goaaal [emoji23]Umenikumbusha kale kajamaa kalikokuwa kanachafua nyuzi humu mitandaoni kuandika kagoli ka1 ka "kapombeeeeeee goal" mechi ya kwanza
Karma Is Real [emoji23]Popoma 1 la MAKOLOKOLO FC nililiambia hiyo ndiyo kazi ya karma ambavyo inalipiza kisasi dhidi ya Berkane FC nikashangaa ghafla Jamaa kawa na jazba akinishutumu siko upande wao [emoji13]
Kubakwa Ni Kulekule Tu Ikishapenya Imepenya Tu Hata Useme Nn [emoji23]Na ndiyo ilikuwa dua ya mautopolo. Wanaume wamekufa kiume siyo wale waliokufa kibudu tena kwa kugeuzwa hasusa mbele na nyuma