Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Ila yote kwa yote. Pablo inabidi abe e lawama. Nilisema hapa kwamba the best way for simba ku go through ni kama wataenda sauz na kushbulia.

Hii style ya kupaki bus sio dna ya simba na unaona kabisa hawana tactics zozote za counter attack...hamna madhara kwa mpinzani.

Alijaribu hili kule berkane ikabuma, so angejua kabisa kwa hii style haina faida.
Ili kufika nusu na kuchukuwa ubingwa lazima tukubali kwamba unatakiwa uwe na timu ambayo inaweza kwenda ugenini na kupata japo point. Na sio wachukua point kwa mchovu wa kundi, kuchukuwa point kwa vigogo.
Pablo sio wa kulaumiwa, mbn kipind cha kwanza tulicheza vzr? Kad ya mugalu imetucost sn sn. Timu imepambana sn najua weng walijua/kutarajia labda tungefungwa 5 huko lkn wachezaj wamepambana sn leo.
 
Pablo sio wa kulaumiwa, mbn kipind cha kwanza tulicheza vzr? Kad ya mugalu imetucost sn sn. Timu imepambana sn najua weng walijua/kutarajia labda tungefungwa 5 huko lkn wachezaj wamepambana sn leo.
Naona wewe na mie tuna maana tofauti ya kucheza vizuri....yaani timu dakika 45 inamaliza bila shot on target, huko sio kucheza vizuri jombaa.

Kwanza objective ya game ni kufunga magoli sio kulinda magoli
 
Pablo sio wa kulaumiwa, mbn kipind cha kwanza tulicheza vzr? Kad ya mugalu imetucost sn sn. Timu imepambana sn najua weng walijua/kutarajia labda tungefungwa 5 huko lkn wachezaj wamepambana sn leo.
Na ndiyo ilikuwa dua ya mautopolo. Wanaume wamekufa kiume siyo wale waliokufa kibudu tena kwa kugeuzwa hasusa mbele na nyuma
 
Back
Top Bottom