Simba yatuma rasmi ombi kwa Idara ya Uhamiaji kuomba uraia wa wachezaji wake 9 wa kigeni

Simba yatuma rasmi ombi kwa Idara ya Uhamiaji kuomba uraia wa wachezaji wake 9 wa kigeni

Duu wachezaji 9 wengi sana nionavyo Mimi hiyo idadi ni kubwa sana, lazima tuwe na idadi ndogo ya kujifunza kwa haya maamuzi, idadi ndogo ita saidia kujifunza toka makosa madogo tukumbuke hao ni binadamu

We have to be serious on some of the things, am not an authoritarian but not to this figure, Big figure may result to many mistakes to learn, with small figure Will have small mistakes to learn

Mimi Nina dhana, (concept), inayo husu yasiyokuwa na uhakika, (uncertainty), binadamu ndiye msababishaji mkubwa wa changamoto tunazo kabiliana nazo kwenye maisha ya kila siku Nina andiko langu kuhusu uncertainty hapa siyo eneo lake
 
Hili sioni kama lina tatizo hasa sheria zikizingatiwa hakuna tatizo , hata America 🇺🇸 haikujengwa na jamii moja , ili kupata maendeleo inabidi tuchanganyike tupate uzoefu tofauti.

Matatizo yako hapa:

ii. That during the ten years immediately preceding the said period of twelve months he resided in the United Republic for periods amounting in the aggregate do not less than seven years,

vi. That he intends, if naturalized to continue to reside permanently in the United Republic.
 
Kumbe😁
 
Hivi nini MOTIVE behind ya hii issue?

Kwa mtizamo wangu sio ni kama lina TIJA

Ukweli ni kwamba timu zinatafuta shot cut ya kukwepa kipengele cha limit ya idadi ya wachezaji wa kigeni 12
Lakini pia zinakwepa lundo la ada na kodi kwa wachezaji wa kigeni

Trust me hawa wachezaji wakimaliza mikataba yao na hivi vilabu na wakaona hakuna tena manufaa na uraia huo watarudia uraia wa nchi zao na haswa ikizingatiwa kwamba nchi nyingi za Afrika mgharibi zinakua na urai pacha

Nchi za wenzetu wakikupa uraia kwasababu ya kipaji ni wanazingatia unakipaji kweli kweli kwa faida ya taifa na sio vilabu kukwepa limit na kodi ada na tozo
 
Back
Top Bottom