Simba yatuma rasmi ombi kwa Idara ya Uhamiaji kuomba uraia wa wachezaji wake 9 wa kigeni

Simba yatuma rasmi ombi kwa Idara ya Uhamiaji kuomba uraia wa wachezaji wake 9 wa kigeni

Kwa maslahi mapana ya mpira naidhinisha wapewe uraia mara 1 hii ni executive order.
 
Hili jambo litamchafua sana mwigulu sema athari zake kisiasa atakuja ziona mbele
 
Baada ya wachezaji wanne wa Klabu ya Singida Black Stars kupatiwa uraia wa Tanzania, Klabu ya Simba nayo imetuma maombi rasmi ya kuomba uraia wa wachezaji wake 9 wa kigeni ili wapatiwe uraia wa Tanzania.

Klabu ya Simba imedai wachezaji hao wana manufaa kwa nchi hii kwani bado ni vijana wanaoweza kuwa msaada kwa Taifa.

Sambamba na hiyo, Simba inaomba ada ya usajili wa wachezaji hawa ifutwe ili watambulike kama raia wa kitanzania.
View attachment 3211217

Pia soma
  1. Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni
  2. Je, tuhuma za kutolewa uraia kama njugu kwa wachezaji wa Singida Big Stars zina ukweli? Je, ni chanzo cha kuondolewa Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani?
Kwani utaratibu ukoje kisheria? Anayeomba uraia ndiye anatakiwa kutuma maombi au mhusika anaweza kuombewa uraia hata kama hataki?
 
Ccm kwa hakika wanaiharibu sana hii nchi. Nakumbuka baba yake Dodi Al Fayed alikaa Uingereza kwa zaidi ya miaka 30 lakini hakuwahi kupewa uraia kwa sababu uraia ni true national identity and the reflection of culture of the given people hivyo sio kitu cha kutolewa kijinga jinga kama serikali hii inavyojaribu kufanya.

Siku moja tutashangaa rais wa nchi ya Tanzania anakuwa ni mwenye asili ya Nigeria, Cote D'Ivoire, Ghana au hata Burundi.

Kadri ccm itakavyoendelea kubakia mamlakani ndio hii nchi itakavyoendelea kuharibika zaidi na zaidi.
 
Wakuu hizi habari mnazitoa wapi? Halafu Taasisi kuwaombea wafanyakazi uraia ipo kisheria?
 
Ccm kwa hakika wanaiharibu sana hii nchi. Nakumbuka baba yake Dodi Al Fayed alikaa Uingereza kwa zaidi ya miaka 30 lakini hakuwahi kupewa uraia kwa sababu uraia ni true national identity and the reflection of culture of the given people hivyo sio kitu cha kutolewa kijinga jinga kama serikali hii inavyojaribu kufanya.

Siku moja tutashangaa rais wa nchi ya Tanzania anakuwa ni mwenye asili ya Nigeria, Cote D'Ivoire, Ghana au hata Burundi.

Kadri ccm itakavyoendelea kubakia mamlakani ndio hii nchi itakavyoendelea kuharibika zaidi na zaidi.
Kwanini watu weusi tunakuwa wabinafsi sana?

Mbona mkisikia mtu mweusi amekuwa Rais pale Marekani mnafurahi?

Mkisikia mtu mwenye asili ya Tanzania kachaguliwa kuwa Meya wa London mnafurahi?

Kila siku nawaambiwa watu hii ngozi nyeusi ingekuwa na uchumi mzuri hizo race nyingi zote zingeisoma namba.
 
Sheria zifuate mkondo wake na si kutumia vyeo ndani ya serikali!
 
Back
Top Bottom