Wewe Sasa ndio umeongea Hali halisi ya ambayo hata wachanbuzi wetu hawako tayari kusema.Hivi nini MOTIVE behind ya hii issue?
Kwa mtizamo wangu sio ni kama lina TIJA
Ukweli ni kwamba timu zinatafuta shot cut ya kukwepa kipengele cha limit ya idadi ya wachezaji wa kigeni 12
Lakini pia zinakwepa lundo la ada na kodi kwa wachezaji wa kigeni
Trust me hawa wachezaji wakimaliza mikataba yao na hivi vilabu na wakaona hakuna tena manufaa na uraia huo watarudia uraia wa nchi zao na haswa ikizingatiwa kwamba nchi nyingi za Afrika mgharibi zinakua na urai pacha
Nchi za wenzetu wakikupa uraia kwasababu ya kipaji ni wanazingatia unakipaji kweli kweli kwa faida ya taifa na sio vilabu kukwepa limit na kodi ada na tozo
Wasemaji WA hivi vilabu ukiwasikiliza motive behind ya kuwaombea uraia hao wachezaji, wanakimbilia kutaja eti impacts watakayokuwa nayo hao jamaa kwenye tifu ya taifa...yaani utafikiri labda wataingia Moja Kwa Moja kwenye national team. Ila ki uhalisia wanatafuta urahisi tu wa kuweza kumanage idadi Yao pamoja kuepuka gharama za kuwabakiza hapa nchini. Yaani hapo ni Kwa ajili ya maslahi ya vilabu na sio kitu kingine.
Inasikitisha kuona jinsi walivyotumia njia ndefu hivyo hili tu wabaki na hao wachezaji WA kigeni.. ni Tanzania pekee tu hili linawezekana