Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Yani tunaanza na BOCCO kama mshambuliaji?? Hivi ni nini ambacho kocha huwa anaona kwa huyu jamaa ambacho sisi (mimi) hatukioni?

Pale kwenye backline nina mashaka sana na Kennedy, huenda akaifanya kazi ya Malone kuwa ngumu sana leo.
 
Kwa Kennedy hatuna option maana Enonga ana injury

Ila kwa Bocco hiyo ni ridiculous
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…