Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba lazima nasema lazima kombe lirudi kwa wenye nchi...sisi ndo Simba
Kila la heri mnyama
Akishinda Simba leo nna zawadi yako special wewe mwanasimba kindakindaki ingawa leo Simba kushinda ni nafasi NDOGO sawa na 'Ngamia kupenya kwenye tundu la SINDANO'

Hakuna penati leo
 
UPDATE

DAKIKA YA 90

AZAM FC 2 (01’ Dube, 42’ Sopu)

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0

Dakika 3 za Nyongeza

Singida wanapa Free Kick
 
Akishinda Simba leo nna zawadi yako special wewe mwanasimba kindakindaki ingawa leo Simba kushinda ni nafasi NDOGO sawa na 'Ngamia kupenya kwenye tundu la SINDANO'

Hakuna penati leo
Haya sawa...
Haya basi sawaaaa
 
UPDATE

FT

AZAM FC 2 (01’ Dube, 42’ Sopu)

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0
 
Ina maana Simba ni weak kuliko Azam?
Mbona wamempiga Singida kirahisi hivi?
Leo Singida waliona wakipaki bus wataonekana wanyonge, lakini kwa Simba waliona si ajabu sana wakionekana wanyonge. Ni kama Yanga, akijidai kufunguka kwa Simba atapigwa tena, heri apaki bus kama Singida halafu avizie counter attacks na kusubiri mikwaju ya penati
 
Leo singida waliona wakipaki bus wataonekana wanyonge, lakini kwa Simba waliona si ajabu sana wakionekana wanyonge. Ni kama Yanga, akijidai kufunguka kwa Simba atapigwa tena, heri apaki bus kama Singida halafu avizie counter attacks na kusubiri mikwaju ya penati
Hawawezi kukubali kwa hili
 
Leo Singida waliona wakipaki bus wataonekana wanyonge, lakini kwa Simba waliona si ajabu sana wakionekana wanyonge. Ni kama Yanga, akijidai kufunguka kwa Simba atapigwa tena, heri apaki bus kama Singida halafu avizie counter attacks na kusubiri mikwaju ya penati
Unatupangia namna ya kucheza wewe kama nani??
Unakaribia kutembea uchi
 
Back
Top Bottom