Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

UPDATE

DAKIKA YA 55

AZAM FC 2 (01’ Dube, 42’ Sopu)

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0
 
UPDATE

DAKIKA YA 63

AZAM FC 2 (01’ Dube, 42’ Sopu)

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0

Singida FG wanafanya Mabadiriko, Anatoka Ambundo Anaingia Kaseke.

Upande wa Azam Kipre JR ameingia
 
UPDATE

DAKIKA YA 71

AZAM FC 2 (01’ Dube, 42’ Sopu)

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0

Kagere In

Kazadi Out
 
UPDATE

DAKIKA YA 63

AZAM FC 2 (01’ Dube, 42’ Sopu)

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0

Singida FG wanafanya Mabadiriko, Anatoka Ambundo Anaingia Kaseke.

Upande wa Azam Kipre JR ameingia
Umetisha mkuu kazi nzuri yaan nimepata clear updates
 
UPDATE

DAKIKA YA 75

AZAM FC 2 (01’ Dube, 42’ Sopu)

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0
 
UPDATE

DAKIKA YA 76

AZAM FC 2 (01’ Dube, 42’ Sopu)

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0

ZAYDI IN

FEISAL OUT

MBOMBO IN

DUBE OUT
 
UPDATE

DAKIKA YA 80

AZAM FC 2 (01’ Dube, 42’ Sopu)

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0

KIJILI OUT

GYAN IN

SOPU OUT

CHILAMBO IN
 
UPDATE

DAKIKA YA 85

AZAM FC 2 (01’ Dube, 42’ Sopu)

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0
 
Naitakia ushindi mnono timu yangu ya Wananchi, hata kama hao waandaji wana ajenda zao za siri za kutaka kuibebba timu fulani kupitia waamuzi wa kike! Ila naamini haki itapatikana tu.
Acheni polimilai....yani mkishinda nyie hakuna ajenda tukishinda sisi kuja ajenda..acha boli litembee
 
Simba lazima nasema lazima kombe lirudi kwa wenye nchi...sisi ndo Simba
Kila la heri mnyama
 
Back
Top Bottom