Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Mtangazaji anaposema Singida Big Stars hajui kuwa inaitwa Singida Fountain Gate au ni makusudi anafanya?
 
Mtangazaji anaposema Singida Big Stars hajui kuwa inaitwa Singida Fountain Gate au ni makusudi anafanya?

Hata Studio Kwao Bado wanatumia Singida Big Stars, TFF bado Hawajathibitisha bado
 
Nimeweka mkeka mabao matatu kwenda juu, Azam na Singida ongezeni mabao mawili nivute hela
 
Hadi Sasa Singida Wamecheza Vizuri zaidi Kuliko Azam Japo Wapo Nyuma kwa Goli 1
 
Goooooooooooooal

UPDATE

DAKIKA YA 42

AZAM FC 2

SINGIDA FOUNTAIN GATE 0
 
Back
Top Bottom