Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Santrooo sana rafikiiii[emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji123]!!

Mimi naangalia comment zilivyofatana [emoji2088][emoji2088][emoji2088] najua itakayofata chini yangu itakuwa ya CW [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi !Basi ! Basi ! Si mliwataka wenyewe hao simba ? Wamekuja Sasa mnaanza kujiliza tena kutafuta huruma ya waamzi !!! Najua hapo mlipo viongozi na Mashabiki wa Yanga vinyesi sasa vinagonga nguo zenu za ndani na kurudi makalioni.Dadadeki!!! Leo mtakunya
Kama huna uwezo wa kutumia maneno ya kawaida unapofikisha ujumbe wako, basi usiwe unani quote tafadhali. Maana vijana wa siku hizi mnawaza kunya tu.
 
Unyama mwingi unaanzia hapa jf kwa huu uzi kutawaliwa na na wana unyama mwingi.

Saa tatu usiku tutahitimisha kwa kubeba ngao yetu pale Mkwakwani.

Guvu moya twende kazi.
 
ONYO kutoka Geshi ra Porisi:

garibio rorote ra kibu Denis kupereka makombora kwa kipa wa Yanga kwa nia ya kumvunja mikono haritakubarika Mura.
Geshi ra Porisi ritakua macho muda wote wa mchezo kuhakikisha Kibu hatofanya udharirishaji wowote kwa kipa wa Yanga ndugu Diara.

Imetorewa na Coporo Kiaghata Chacha Marwa wa kanda maalum.
 
๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ƒ๐š๐ข๐ฆ๐š ๐ฆ๐›๐ž๐ฅ๐ž, ๐๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐š ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ค๐จ

[emoji617]
 
๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ƒ๐š๐ข๐ฆ๐š ๐ฆ๐›๐ž๐ฅ๐ž, ๐๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐š ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ค๐จ
Like!!!
 
Back
Top Bottom