Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

YANGA BINGWA
Ni Mnyama umekosea
fa43d8171d6d5b2758fdcba61d2e776b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamuzi wa hiyo mechi ana kila dalili ya kushindwa kuumudu mchezo kwa kutaka tu kuwabeba. Na jambo hili lazima lisemwe mapema. Maana halikubaliki hata kidogo.

Achezeshe kwa kufuata sheria 17 za soka, na siyo kwa kufuata maagizo kutoka juu.
Mtateseka hadi mechi iishe
 
Naitakia ushindi mnono timu yangu ya Wananchi, hata kama hao waandaji wana ajenda zao za siri za kutaka kuibebba timu fulani kupitia waamuzi wa kike! Ila naamini haki itapatikana tu.
Self defense
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Uwezo tunao, Kikosi bora pia tunacho hapa ni swala la muda tu.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Cha msingi ifikapo saa tatu wote tuwaone, msifanye mikimbio
 
Back
Top Bottom