Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Hakuna namna tunaweza kuboresha viwanja pasi ikipigwa imfikie mlengwa bila kubadili muelekeo unaosababishwa na mawimbi. Unaona kabisa mpigaji kapiga straight ila mpira unadunda dunda.
 
Kwa hii hal ninayo iona ya singida [emoji28] sina mengi ya kumwambia mtani [emoji28][emoji28]
 
2-0

Tulisema singida na Simba wote walikutana wabovu tu
Mpira hauko hivyo mkuu, kila mchezo timu huingia na approach yake. Kushinda kwa Azam mbele ya Singida haifanyi kuwa Yanga itashinda mbele ya Simba. Ni mechi mbili tofauti na ni timu mbili tofaut.
 
Inatisha
FB_IMG_16919309018103954.jpg
 
Back
Top Bottom