ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #201
UPDATE:
Vikosi vya Timu zote
Vikosi vya Timu zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zouzoua na Konkon
Huyu kocha sijui hata kama ana mjua adui. Yanga unatakiwa kumaliza mechi first half. Wakivuka hapo umeumia. Sasa yeye anaacha Baleke na Ngoma nje uje uingize second half.
Kocha na Bocco daaah
Bao la Mwanza? Yaan hujalisahau lile bao la Mwanza mpaka leo, ushaisha leo jiandae kulia mtaloni na t-shirt yako ya SandalandHakuna cha penati wala nini..leo bao ka mwanza ni Simba
kocha atatudhi namna hiiBocco tena??
Napata wasiwasi sana na uwezo wa kocha wa Yanga juu ya uwezo wake wa kufanya selection ya wachezaji wake 11. Anafanya the same mistake ya game ya Kwanza. Hi dabi ukisharibu mwanzoni ngumu.!
Tulia wewe angalia gemu alietoka nae draw kafungwa na tuliemfunga 2 anatushinda nini huyu Makolo?Anafanya the same mistake ya game ya Kwanza.
Kwa Kennedy hatuna option maana Enonga ana injuryYani tunaanza na BOCCO kama mshambuliaji?? Hivi ni nini ambacho kocha huwa anaona kwa huyu jamaa ambacho sisi (mimi) hatukioni?
Pale kwenye backline nina mashaka sana na Kennedy, huenda akaifanya kazi ya Malone kuwa ngumu sana leo.
Jidanganye jirani.Leo Jirani mnapigwa mapema sana