Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba kocha amekosea kikosi
Yani hapa aombee tu twende mapumziko bila kufungwa ili angalau apate nafasi ya kujirekebisha.

Kule mbele hakuna kabisa la maana linalofanyika. Bocco na Ntibazonkinza ni ushenzi mtupu kule mbele.

Kocha mjinga sana huyu.
 
Wazee wengi wanatucost simba. Intensity ya yanga ni ya Hali ya juu
 
Mkuu unalipwa na nani!?

Ama huna Kazi ingine ya kufanya!?

Ama ndio haya mahaba mapya wanaita mahaba dp world!?

Ama mahaba celeb!?
Yeye ndiye kaanzisha thread, hivyo sio mbaya akiendelea kuleta updates za kinachotokea uwanjani kwa faida ya wale wasioangalia TV.
 
Mods wame fanyaje tena thread ya match kubwa ipo ndani ya hawa under dog
 
Back
Top Bottom