Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hapa aombee tu twende mapumziko bila kufungwa ili angalau apate nafasi ya kujirekebisha.Simba kocha amekosea kikosi
Huo unaobutuliwa na Simba nao unakuwa umemilikiwa na Yanga?Yanga mpaka sasa wanacheza mpira huku Simba wao wanabutua mpira
Mkuu unalipwa na nani!?Chama anapoteza mpira hapa
Hapa shida ni MiqisoneSimba kocha amekosea kikosi
Acha aendelee kutujulisha updates, wengine tupo safariniMkuu unalipwa na nani!? Ama huna Kazi ingine ya kufanya!? Ama ndio haya mahaba mapya wanaita mahaba dp world!?
Ama mahaba celeb!?
Yeye ndiye kaanzisha thread, hivyo sio mbaya akiendelea kuleta updates za kinachotokea uwanjani kwa faida ya wale wasioangalia TV.Mkuu unalipwa na nani!?
Ama huna Kazi ingine ya kufanya!?
Ama ndio haya mahaba mapya wanaita mahaba dp world!?
Ama mahaba celeb!?
Mpira una upepo wake. Jambo moja tu linaweza likaubadili kabisaWazee wengi wanatucost simba. Intensity ya yanga ni ya Hali ya juu
[emoji23][emoji23]Yanga mpaka sasa wanacheza mpira huku Simba wao wanabutua mpira