Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Waamuzi Watakao Chezesha Mchezo Kati Ya Yanga Sc na Simba Sc

 
Uwanja wa mkwakwani tanga unae Taa za usiku? Na je izo taa ni za uwakika au ni bora taa tu ..isije kuwa ni mbinu za makoloo ili kupata ushindi maana mpaka sasa inje ya uwanja tayari wananchi tunaongoza mbili kwa nunge..
#daimaMbeleMwikoNyuma💛💚
 
Mwamuzi wa hiyo mechi ana kila dalili ya kushindwa kuumudu mchezo kwa kutaka tu kuwabeba. Na jambo hili lazima lisemwe mapema. Maana halikubaliki hata kidogo.

Achezeshe kwa kufuata sheria 17 za soka, na siyo kwa kufuata maagizo kutoka juu.
Mtateseka hadi mechi iishe
 
Naitakia ushindi mnono timu yangu ya Wananchi, hata kama hao waandaji wana ajenda zao za siri za kutaka kuibebba timu fulani kupitia waamuzi wa kike! Ila naamini haki itapatikana tu.
Self defense
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Uwezo tunao, Kikosi bora pia tunacho hapa ni swala la muda tu.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Cha msingi ifikapo saa tatu wote tuwaone, msifanye mikimbio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…