Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Yanga wana gundu na fainali.

Tangu tuwafunge kule Algeria imekuwa kama mwendelezo wa nuksi.

Haya mfateni Karia awape medali zenu maana ni haki yenu.

NB: Documentary mliiharakisha, mngeitoa kesho kutwa, leo mlikuwa na contents nyingi za kuweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…