timu bora imepoteza mbele ya timu mbovu daaah mpira unaumiza sanaNyie semeni sisi tujipigia tu
Punguza makasiriko jombaapenati imemgonga imedondoka chini kakutana nayo, unajua kuficha penati penati.wewe
timu bora imepoteza mbele ya timu mbovu daaah mpira unaumiza sanaNyie semeni sisi tujipigia tu
Tupe updates π€£ π€£ π€£Mpaka sasa
Yanga 2(zimekataliwa)-0 Simba
Ndio mabingwa wa ngao unabisha?siyo ubingwa ni ngao tu ya jamii
Huyu Mtoto wa kuitwa Ally Salim Ikiwezekana Picha yake ikae Cover page kwenye ule Mkataba wa DPW.Mtu anadaka penati tatu moja anaificha anaweka kwapani.. huyu mtoto si wa kawaida
Mpira Una ukatili mkubwa Sana, uto mlikua mnatucheka Uzi mzima.
Neno la Mungu linasema
"Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo"
jiuetimu bora imepoteza mbele ya timu mbovu daaah mpira unaumiza sana
huna timu mkuuYanga wana gundu na fainali.
Tangu tuwafunge kule Algeria imekuwa kama mwendelezo wa nuksi.
Haya mfateni Karia awape medali zenu maana ni haki.
NB: Documentary mliiharakisha, mngeitoa kesho kutwa, leo mlikuwa na contents nyingi za kuweka.
πππNaenda kulewa mpaka asubuhi kumamake
Kapike sasa, wewe huku kwenye mpira unalazimisha tu[emoji23]yaan inachekesha timu inashangilia wakat hamna kitu
Diarra kwenye penati anahitaji tuition kwa Ally Salimhakuna kipa hapo sema wachezaj wa yanga wamezingua