Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

huna timu mkuu
mechi zote unapita kwa penati tena ukiwa umekimbizwa sana dk 90
Ungekuwa unaangalia game kwa namna fikirishi usingeona ya upande wangu tu.

Kama unakubali mchezo mliukamata kila area dhidi ya timu iliyokuwa inacheza chini ya kiwango halafu dakika 90 zikaisha bila kufunga.

Sidhani kama ni sahihi kujifariji maana hujaweza kufikiria kuwa vipi hao wapinzani wangecheza kiwango cha juu na wewe ungecheza poor, je ungeweza kutoboa?

Simba ingecheza katika high performance dhidi yenu sidhani kama zilikuwa zinapungua goli chini ya 3.
 
Kwa watu wanaojua mpira ushindi wa penati si wa kufurahia....Na ndio maana kwenye kutoa Tunzo ya Mfungaji bora wananzengo wakasema tuondoe magori ya penati na pia hata magoli ya maza ,msigwa alisema ya penati hayahesabiwi.
Kanywe maji,unajizima data hutambui hata Bingwa wa Dunia wa Sasa Argentina ametoboa Kwa penati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…