Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

umekula kande za wapi
Alizopika Manara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
frank_yanga_1691214630235739.jpg
 
kabisa na fungu la refa liandaliwe mapemaaaaa kwenye bilioni 3 fungu la refa liwepo
Kazi yetu mwaka huu kwenye fainali yoyote tunawapelekesha mpaka kwenye penalty tunawakandaaa...
Kila mtu na acheze mechi zakee...
 
Back
Top Bottom