Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Zakazakazi miyeyusho sana
Screenshot_20230813-222813.png
 
Kaka..

Mie sijaridhika na mpira tuliocheza simba, utopolo kaupiga mwingi zaidi yetu, dk 90 watu presha juu.

Nilisema na ninarudia kusema, simba tunasajili kwa mihemko, toka dirisha lipo wazi, simba tuna shida katika midfield, timu inaongeza mawinga na washambuliaji, wakati tulionao tu wengine hawachezi.

Kocha bado ana shida na phiri, sioni wa kumuweka benchi phiri pale simba, huo ni ukweli uliokuwa uchi.

Hii game nilikuwa naiangalia sina presha nilikuwa nategemea kufumgwa muda wowote.
 
Haujui mpira.
Timu bora ni ile inayopata matokeo kwenye dk 90, nyongeza 30 au penati.
Ukiwa mbovu kwenye penati, wewe bado haujawa na kikosi bora.
Unafikiri bila kushinda penati, wydad wangeenda vipi nusu fainali?
Acha kujifariji ujinga
Yanga hii hii ilipigiana penalties na usm alger kwenye caf losers cup, wangeshinda, wangesusa kombe? Wasingeshangilia?
 
Kaka..

Mie sijaridhika na mpira tuliocheza simba, utopolo kaupiga mwingi zaidi yetu, dk 90 watu presha juu.

Nilisema na ninarudia kusema, simba tunasajili kwa mihemko, toka dirisha lipo wazi, simba tuna shida katika midfield, timu inaongeza mawinga na washambuliaji, wakati tulionao tu wengine hawachezi.

Kocha bado ana shida na phiri, sioni wa kumuweka benchi phiri pale simba, huo ni ukweli uliokuwa uchi.

Hii game nilikuwa naiangalia sina presha nilikuwa nategemea kufumgwa muda wowote.
Nakazia.
 
Katokea Zenjii, kaaga kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado, Muelezee Vizuri..ZNZ kuna Small Simba,Kikwajuni na Malindi...Sea boy na Macho Manne, zingine ni KmKm,Mlandege n.k...Katokea timu gani kwani...?
 
Kaka..

Mie sijaridhika na mpira tuliocheza simba, utopolo kaupiga mwingi zaidi yetu, dk 90 watu presha juu.

Nilisema na ninarudia kusema, simba tunasajili kwa mihemko, toka dirisha lipo wazi, simba tuna shida katika midfield, timu inaongeza mawinga na washambuliaji, wakati tulionao tu wengine hawachezi.

Kocha bado ana shida na phiri, sioni wa kumuweka benchi phiri pale simba, huo ni ukweli uliokuwa uchi.

Hii game nilikuwa naiangalia sina presha nilikuwa nategemea kufumgwa muda wowote.
Hii Point .Simba hawakai na mpira wanafanya makosa mengi sana.

Mayele na nabi wangekuwepo tusingetoboa leo. Simba bado hawajaelewana.
 
Huu moto wa yanga sijui..
ngoja tusubiri tuone mbele.
Simba wameniangusha kidogo nao tuwape muda tuone.
 
Hii Point .Simba hawakai na mpira wanafanya makosa mengi sana.

Mayele na nabi wangekuwepo tusingetoboa leo. Simba bado hawajaelewana.
Midfielders zetu mpira haukai mguuni ni kama vile mpira una moto.
Saidoo mapepe mengi, anapoteza sana mipira
Bocco mtihani, hata kujiposition apokee mpira ilikuwa tabu.
Coach anatoa luis anatia kibu D 🤣
 
Watu wanaweka hela... wanatrain na wanaenda kwa kujipanga..

Huyo Diarra mnamsifiaga sana ila kiukwel pale hakuna kipa..

Yanga mna cha kujifunza
 
Kaka..

Mie sijaridhika na mpira tuliocheza simba, utopolo kaupiga mwingi zaidi yetu, dk 90 watu presha juu.

Nilisema na ninarudia kusema, simba tunasajili kwa mihemko, toka dirisha lipo wazi, simba tuna shida katika midfield, timu inaongeza mawinga na washambuliaji, wakati tulionao tu wengine hawachezi.

Kocha bado ana shida na phiri, sioni wa kumuweka benchi phiri pale simba, huo ni ukweli uliokuwa uchi.

Hii game nilikuwa naiangalia sina presha nilikuwa nategemea kufumgwa muda wowote.
Hapana Sajili hatujafanya mbovu.

Kocha tu ndio hana mbinu ameshindwa kuwa na timing ya kujua hitaji la mchezo linataka aina gani ya formation.

Simba tuna utajiri wa Viungo

Tunao viungo wakutosha

1. Kanoute
2. Mzamiru
3. Ngoma
4. Abdallah Hamis

Moses Phiri sio wakuwekwa bench na Bocco na ndio hapo tunarejea kwenye hoja ambayo inatuunganusha wote kuwa Kocha ana matatizo.

Ila amini kuwa tumesajili vizuri tumekosa mwalimu ambaye anaweza kuwa na mbinu za kuifanya timu iwe tishio pindi inapokuwa na mpira na pindi ikiwa haina mpira.
 
Back
Top Bottom