Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulipoingia matuta niliona kwa Diara hatuna chetu kumbe sivyoKatokea Zenjii, kaaga kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka..
Yanga hii hii ilipigiana penalties na usm alger kwenye caf losers cup, wangeshinda, wangesusa kombe? Wasingeshangilia?Haujui mpira.
Timu bora ni ile inayopata matokeo kwenye dk 90, nyongeza 30 au penati.
Ukiwa mbovu kwenye penati, wewe bado haujawa na kikosi bora.
Unafikiri bila kushinda penati, wydad wangeenda vipi nusu fainali?
Acha kujifariji ujinga
🤣🤣🤣 Akamfundishe diarra kudaka penati!?? 🤣Kuna haja Ally Salim apelekwe Yanga kama kocha wa goal keeping
Bocco hamna kitu, ni bora wangempa mkono wa kwaheri, kwenye usajili, simba ni hovyo kabisa.
Nakazia.Kaka..
Mie sijaridhika na mpira tuliocheza simba, utopolo kaupiga mwingi zaidi yetu, dk 90 watu presha juu.
Nilisema na ninarudia kusema, simba tunasajili kwa mihemko, toka dirisha lipo wazi, simba tuna shida katika midfield, timu inaongeza mawinga na washambuliaji, wakati tulionao tu wengine hawachezi.
Kocha bado ana shida na phiri, sioni wa kumuweka benchi phiri pale simba, huo ni ukweli uliokuwa uchi.
Hii game nilikuwa naiangalia sina presha nilikuwa nategemea kufumgwa muda wowote.
Bado, Muelezee Vizuri..ZNZ kuna Small Simba,Kikwajuni na Malindi...Sea boy na Macho Manne, zingine ni KmKm,Mlandege n.k...Katokea timu gani kwani...?Katokea Zenjii, kaaga kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii Point .Simba hawakai na mpira wanafanya makosa mengi sana.Kaka..
Mie sijaridhika na mpira tuliocheza simba, utopolo kaupiga mwingi zaidi yetu, dk 90 watu presha juu.
Nilisema na ninarudia kusema, simba tunasajili kwa mihemko, toka dirisha lipo wazi, simba tuna shida katika midfield, timu inaongeza mawinga na washambuliaji, wakati tulionao tu wengine hawachezi.
Kocha bado ana shida na phiri, sioni wa kumuweka benchi phiri pale simba, huo ni ukweli uliokuwa uchi.
Hii game nilikuwa naiangalia sina presha nilikuwa nategemea kufumgwa muda wowote.
mtabadilisha sana sheria za soka mlianza na kudai goli la ugenini lifutwe kisa mmeshindwa na Sasa hivi mmehamia kwenye penatiKama dakika 90 hakuna ushindi ,mechi irudiwe baada ya siku 3...Mambo ya penati ziwe kwenye makosa ndani ya hizo dakika 90.
Midfielders zetu mpira haukai mguuni ni kama vile mpira una moto.Hii Point .Simba hawakai na mpira wanafanya makosa mengi sana.
Mayele na nabi wangekuwepo tusingetoboa leo. Simba bado hawajaelewana.
Abeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana Sajili hatujafanya mbovu.Kaka..
Mie sijaridhika na mpira tuliocheza simba, utopolo kaupiga mwingi zaidi yetu, dk 90 watu presha juu.
Nilisema na ninarudia kusema, simba tunasajili kwa mihemko, toka dirisha lipo wazi, simba tuna shida katika midfield, timu inaongeza mawinga na washambuliaji, wakati tulionao tu wengine hawachezi.
Kocha bado ana shida na phiri, sioni wa kumuweka benchi phiri pale simba, huo ni ukweli uliokuwa uchi.
Hii game nilikuwa naiangalia sina presha nilikuwa nategemea kufumgwa muda wowote.
Nataka kujua aliempendekeza huyo jamaa kusajiliwaFondoh Malone..! Nani amsimulie ni mchezaji wa namna gani..?
Bado namtafakari...!
Kambi ya Uturuki imelipa🤣🤣🤣 Akamfundishe diarra kudaka penati!?? 🤣
Kafanya vizuri katustiri.
Ndiyo hapo sasa. Wanajifariji tuYanga hii hii ilipigiana penalties na usm alger kwenye caf losers cup, wangeshinda, wangesusa kombe? Wasingeshangilia?