Utopolo kubalini tu mmefungwa na SIMBA na mmepoteza ngao ya Hisani.
Umefungua nyuzi nyingi za kujitetea,kuponda nk..
Kwenye mchezo wa mpira kikubwa ni ushindi...hayo mengine ni mahangaiko tu.
Tukutane tarehe tano Novemba.
Tunaojua mpira tuliwaambia hawa wasiojua mpira wao wakikutana wengi wanaamini mawazo ya wengi ni sahihi hayo yapo kwenye Siasa sio mpira ndio maana walikua hawajui kuwa ni wabovu..