Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Haaa haaa mwenye penati anajulikana. Kaingia kwenye kumbukumbu ya hatrick ya save. Tena zingine kazimeza
Alikuwa akizikumbatia kwa upendo,🤣🤣🤣😂😃bahat mbaya Aziz Ki alipeleka penat yake kwa hasira, Katoro akaghairi kuipokea
 
Hongereni Utopolo wazee wa Medali..mmevaa tena Medali kama kawaida yenu.. hongereni sana
 
IMG_20230815_081705.JPG

Aione....
Shadeeya Scars OKW BOBAN SUNZU Kalpana Bantu Lady cocastic na wengine
 
Back
Top Bottom