Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Tumeridhika kwa matokeo. Mwamuzi amechezesha vizuri. Tumeshindwa kuzitumia nafasi tulizopata.

Hivyo nawapongeza kwa kuchukua Ngao ya Jamii msimu huu kwa changamoto ya mikwaju ya penati.
Wenzako wanamlaumu refa kuwa penati tatu zote alizocheza Ally Salim zilitakiwa kurudiwa kwasababu Ally Salim alikuwa anatoka kwenye mstari mapema kabla ya mpira kupigwa.
 
Eti kuna hater jirani yangu anasema eti aly hakukaa kwenye mstari. Alisogea mbele ndio maana alizidaka . Je ni kwel?
 
Simba hakuna Timu pale muda utaongea...
Jana mmepigishwa gwaride la JKT lile...
 
Mtani siku nyingi nilikuwa biz kidogo ila jana nikasema hapana hebu acha nikaone waburudishaji wetu walivyosajili na kujipanga.

Tunaanza upya mtani
Ooh! Haina shida Mtani. 🤝

Eti mnaanza upya. Lol. Haya ngoja tuone Mtani.
 
Wenzako wanamlaumu refa kuwa penati tatu zote alizocheza Ally Salim zilitakiwa kurudiwa kwasababu Ally Salim alikuwa anatoka kwenye mstari mapema kabla ya mpira kupigwa.
Hayo yatabakia tu kuwa makosa ya kiufundi kwa waamuzi wetu. Wakati mwingine watajifunza.
 
Kwa hiyo zile Medali mlizochukua jana mtaenda nazo ikulu tena mkalie na ubwabwa?
mkuu wachambuzi wote leo wanashangaa refa na vibendera kuruhusu kipa kutoka kabla ya pigo la penati
 
Hapana Sajili hatujafanya mbovu.

Kocha tu ndio hana mbinu ameshindwa kuwa na timing ya kujia hitaji la mchezo linataka aina gani ya formation.

Simba tuna utajiri wa Viungo

Tunao viungo wakutosha

1. Kanoute
2. Mzamiru
3. Ngoma
4. Abdallah Hamis

Moses Phiri sio wakuwekwa bench na Bocco na ndio hapo tunarejea kwenye hoja ambayo inatuunganusha wote kuwa Kocha ana matatizo.

Ila amini kuwa tumesajili vizuri tumekosa mwalimu ambaye anaweza kuwa na mbinu za kuifanya timu iwe tishio pindi inapokuwa na mpira na pindi ikiwa haina mpira.
Hii kweli kabisa. Yaani moses phiri awekwe benchi na bocco? Afu anaingia dakika za jioni uchawi upo
 
Yanga mwenzangu ila umeandika Utopolo. Mabingwa wa sasa wa Dunia walishinda Ubingwa kwa Penalty
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mkuu wachambuzi wote leo wanashangaa refa na vibendera kuruhusu kipa kutoka kabla ya pigo la penati
Hawa ni wachambuzi wa mchele!! Bongo imejaa wachambuzi ambao hawakuwahi kucheza soka kwenye kiwango cha juu hata kwa kipimo cha bongo tu!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom