Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

WANA SIMBA MMEAMKAJE NYIE WENGINE KIMBIKINYO KIGAMBONI FC LOLOTE LIWAKUTE [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Jamaa waga anastaili flani ya kuzomea, jana mara baada ya Moze Phiri kupiga penalt mwendo kasi, basi diara alikimbia huku akicheka kwa dharau utafikiri anangoja tu kuveshwa taji kwani kazi keshamaliza,
Maskini kiburi si maungwana na raiti angejua nadhani ile mikwara asingefanya kamwe kama jina la afisa habari wake.
 
Mwenye deni anajulikana.Kapigwa 2 sifuri ndani ya dakika 90.Leo anachagua adhabu eti kwanini kafungwa kwa penalti?
Mfungwa hachagui gereza wala adhabu.Anatii tu bila shuruti.
Waambie kama hawaukubali ushindi wa penati basi Simba na Arsenal sio washindi wa ngao ya jamii.

Pia tunafuta ubingwa wa kombe la dunia au wedi kapu kwa Argentina anakotokea kocha wao Gamondi.

Au unasemaje mtani wangu Shadeeya
 
Kushangilia ni haki yake kwasababu ni kitendo kilichoonesha dalili ya ushindi kwenye timu yake kwa wakati ule, au mkuu ulitaka amkumbatie phiri kwa kukosa penalty
Hata angemkumbatia angeinekana anamkejeli
 
hili hata mimi nililiona akiwaambia wapige upande wa kulia mwa salimu na kweli yakapiga huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kqzi tyliyokutuma mkude umeifanya vizuri
Ule mchezo wa Simba na Wydad kule Morocco, Ally kwenye zile peneti, alikuwa haendi upande wa kulia kwake. Na jamaa, wakawa wanapiga upande huo huo, na kufunga.
Sasa, ikawa inafahamika kuwa, ukitaka kumfunga penati, basi mpigie kulia kwake tu. Hata Singida, nao walijaribu kumpigia upande huo, na akazuia mchomo mmoja. Inawezekana, alifanyia kazi yale matokeo ya Morocco!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitumie nguvu sana kisichotakiwa ni kutoka kwenye mstari kabla ya mpigaji hajaupiga mpira ila Ally Salim hakufanya hivyo trust me hakufanya hicho ulichokisema...


Najua Inauma[emoji28]
Sa sisi tukusaidieje sasa. Yaani hapo mmenyang'anywa ngao tu mnalalamika. Itakuwaje mkipoteza ubingwa wa NBC na Azam kwa mnyama?

Jiandaeni kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom