Odense
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 1,189
- 1,585
[emoji23] wapi hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] wapi hii?
Hapana mkuu, tafsiri ya tendo lile ilionesha dharau kwa mpigaji na kwamba tayari yeye keshamaliza kazi.ile ni njia ya kuwa zingua kisaokolojia wapigaji wanao fuata ..
sikuona kosa lolote kwake kufanya vile.
ni mpira
Waambie kama hawaukubali ushindi wa penati basi Simba na Arsenal sio washindi wa ngao ya jamii.Mwenye deni anajulikana.Kapigwa 2 sifuri ndani ya dakika 90.Leo anachagua adhabu eti kwanini kafungwa kwa penalti?
Mfungwa hachagui gereza wala adhabu.Anatii tu bila shuruti.
Kushangilia ni haki yake kwasababu ni kitendo kilichoonesha dalili ya ushindi kwenye timu yake kwa wakati ule, au mkuu ulitaka amkumbatie phiri kwa kukosa penaltyHapana mkuu, tafsiri ya tendo lile ilionesha dharau kwa mpigaji na kwamba tayari yeye keshamaliza kazi.
Hata angemkumbatia angeinekana anamkejeliKushangilia ni haki yake kwasababu ni kitendo kilichoonesha dalili ya ushindi kwenye timu yake kwa wakati ule, au mkuu ulitaka amkumbatie phiri kwa kukosa penalty
Ule mchezo wa Simba na Wydad kule Morocco, Ally kwenye zile peneti, alikuwa haendi upande wa kulia kwake. Na jamaa, wakawa wanapiga upande huo huo, na kufunga.hili hata mimi nililiona akiwaambia wapige upande wa kulia mwa salimu na kweli yakapiga huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kqzi tyliyokutuma mkude umeifanya vizuri
🤣😂😆😃 nani kakwambia mtani kuwa hazina mwenyewe?😂😂😂😂 nimecheka sana My dear. Lol.
Penalti hazina mwenyewe.
Mtani nakusalimia. 😂😂Waambie kama hawaukubali ushindi wa penati basi Simba na Arsenal sio washindi wa ngao ya jamii.
Pia tunafuta ubingwa wa kombe la dunia au wedi kapu kwa Argentina anakotokea kocha wao Gamondi.
Au unasemaje mtani wangu Shadeeya
Lol. 😅😅🤣😂😆😃 nani kakwambia mtani kuwa hazina mwenyewe?
Mwenyewe keshapatika ni Ally Salim Katoro 😆🤣
Au nasema uongo ndugu zangu Kalpana cocastic Scars OKW BOBAN SUNZU Bantu Lady
Sa sisi tukusaidieje sasa. Yaani hapo mmenyang'anywa ngao tu mnalalamika. Itakuwaje mkipoteza ubingwa wa NBC na Azam kwa mnyama?Usitumie nguvu sana kisichotakiwa ni kutoka kwenye mstari kabla ya mpigaji hajaupiga mpira ila Ally Salim hakufanya hivyo trust me hakufanya hicho ulichokisema...
Najua Inauma[emoji28]
Bob, tumia tu kiswahili. Unaandika pumba kwa kiingereza. Au umetumia google translation? Lugha ya English kama huifahamu andika kwa kiswahili angalau ueleweke.
Mtani siku nyingi nilikuwa biz kidogo ila jana nikasema hapana hebu acha nikaone waburudishaji wetu walivyosajili na kujipanga.Mtani nakusalimia. 😂😂
Tumeridhika kwa matokeo. Mwamuzi amechezesha vizuri. Tumeshindwa kuzitumia nafasi tulizopata.
Tukutane kwenye Ligi kuu. Yaliyopita si ndwele. Tumekubali matokeo.