Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Tulia wewe angalia gemu alietoka nae draw kafungwa na tuliemfunga 2 anatushinda nini huyu Makolo?

Tunapiga pabaya leo
Angalia kikosi cha simba, linganisha na Cha kwako. Msondo, Mzize na Moloko ndo uwape kazo ya kushambulia kwenye mechi kubwa Kama hii kweli! Game ya kwanza alifanya the same mistake, ikatokea tu bahati dakika za mwisho. Asidhani leo itajirudia tena
 
Subiri hapo gemu ianze tukifunga uje ulalamike
 
Roberto Sijui kama Aliwahitaji Wachezaji Wapya. Kwa aina y Upangaji wake wa Kikosi, Inaonesha ni Kama Wachezaji kaletewa bila yeye kutaka
 
Kwa Kennedy hatuna option maana Enonga ana injury

Ila kwa Bocco hiyo ni ridiculous
Wachezaji wawili ambao mara nyingi uwanjani hugeuka liabilities, Bocco na Ntibazonkiza.

Ngoja tuone plan zake, maana kwenye benchi kuna players wa moto.

Halafu huyu Miquisonne tayari kawa fit kukichafua kiasi cha kuanzishwa hivi?
 
Back
Top Bottom