Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kimeumana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga sio mbovu tatizo mnadanganywa Sana na WAANDISHI WAONGOSimba hamna kitu,wanashindwa kuifunga Yanga mbovu hii!
Kocha hamna kitu pia
WW umekandwa? Upuuzi mtupu timu yenu mbovu tuuTulia ukandwe
Mimi na misukari na mapresha yangu nimeshalala mudaaaa.Mda wa penati huu... Wenye presha na visukari waondoke[emoji1787][emoji1787]
Endelea kujifariji andaa kilio roho inauma ndani kwa ndaniSimba wakianza kupiga basi tunatwaa ngao
Ww presha umeipimia wapi..Pressure Ni Kubwa kwa Simba Kuliko Yanga
Mkude anawashauri cha Kufanya Yanga
𝐊𝐢𝐤𝐨𝐬𝐢 𝐜𝐡𝐚 3𝐁Duuh…mechi mbili dakika 180 magoli 0
Kwa Diarra penalty zote anachomoa𝐌𝐮𝐝𝐚 𝐰𝐚 𝐋𝐚𝐰𝐚𝐦𝐚
𝐏𝐞𝐧𝐚𝐥𝐭𝐢 𝐡𝐚𝐳𝐢𝐧𝐚 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐰𝐞
Tunadanganyana kuna kitu hakipo sawaalafu una ambiwa n bonge la timu
Si kweli ndo atafunga penati ya ushindiUtabiri: Aucho anapaisha leo
Sijui ni uganga?Diarra Anapewa Chupa Yenye Maji namna Wachezaji wa Simba Wanavyopiga Penalties
Mpira wetu wa kumiliki au biriyani halipo kabisa. Nashindwa kujua kocha ana falsafa gani ya mpira.Simba hamna kitu,wanashindwa kuifunga Yanga mbovu hii!
Kocha hamna kitu pia
TuoneeeeSi kweli ndo atafunga penati ya ushindi
Tutakupa matokeo keshoMimi na misukari na mapresha yangu nimeshalala mudaaaa.
Subiri ukandwe penati huchomoki ulimshinda Singida tu sio YangaWW umekandwa? Upuuzi mtupu timu yenu mbovu tuu