Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Nimeumizwa moyo na matokeo ya Yanga yangu 😥😥😥😥😥
Pole bana ila kuna mwamba humu anaitwa PakiJinja aliwahi kusema binadamu tuna maisha ya kujitakia

Screenshot_20230813-213732.png
 
Ungekuwa unaangalia game kwa namna fikirishi usingeona ya upande wangu tu.

Kama unakubali mchezo mliukamata kila area dhidi ya timu iliyokuwa inacheza chini ya kiwango halafu dakika 90 zikaisha bila kufunga.

Sidhani kama ni sahihi kujifariji maana hujaweza kufikiria kuwa vipi hao wapinzani wangecheza kiwango cha juu na wewe ungecheza poor, je ungeweza kutoboa?

Simba ingecheza katika high performance dhidi yenu sidhani kama zilikuwa zinapungua goli chini ya 3.
Nakubaliana na mchambuzi wako, mechi ilipaswa kumaliza dakika 90 na Yanga.

Lakini ukiona sinema yoyote ile ujuwe nyuma ya camera kuna madirector na maproducer.
 
Hongereni Simba kwa ushindi wa matuta, mpira una matokeo katili.

Asiyeipenda Ccm bora aachane na Siasa, mission complete.

Wenye akili tu ndio watalielewa andiko hili.

DP karibuni sana Watanzania wote tumeridhia tuna raha.
Ukifungwaa lazima ulete Hizi hoja za CCM kwenye mpira[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]daahhh....
 
Back
Top Bottom