Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

uwe na timu kama yanga uone iabu yaani aache kuona aibu mwenye usajili wa bilioni 3 na anaruka ruka tu
Wanaona aibu wenzio mimi sioni aibu..timu inayopasua mioyo ya watu wakisikia pen

Yaani Yanga ni viazi kabisa wameshindwa ndani ya dakika tisini halafu hata penalty? Sasa walitaka wasaidiwe nini jamani? Kweli hawa watu hawabebekwi! Ukibebwa unatakiwa kubebekwa!
kweli umebebwa na ume bebeka ila timu huna
 
BTN.jpg
 
uwe na timu kama yanga uone iabu yaani aache kuona aibu mwenye usajili wa bilioni 3 na anaruka ruka tu



kweli umebebwa na ume bebeka ila timu huna

Ambaye amenyukwa ndiyo hana timu wala hamna kipa hapo! Subirini Djibouti watakavyowatawanya kama mchwa!
 
Kwa watu wanaojua mpira ushindi wa penati si wa kufurahia....Na ndio maana kwenye kutoa Tunzo ya Mfungaji bora wananzengo wakasema tuondoe magori ya penati na pia hata magoli ya maza ,msigwa alisema ya penati hayahesabiwi.
Mkifungwa sasaa. ..[emoji2][emoji2][emoji2]mnakua na hoja
Argentina winner WA world cup kupitia penalty
 
Nakubaliana na mchambuzi wako, mechi ilipaswa kumaliza dakika 90 na Yanga.

Lakini ukiona sinema yoyote ile ujuwe nyuma ya camera kuna madirector na maproducer.
Acha imani za kishirikina

Simba imecheza as individual haijacheza kama timu.

Hii niliiona tangu mechi ya kwanza siku ya Simba day

Mmecheza vizuri sana.

Kwangu mimi binafsi naona nyinyi ndio wenye matatizo zaidi, mmeshindwaje kufunga kwenye game kama hii?

Mechi mmeikamata wapinzani hawaeleki wanacheza nini lakini bado umeshindwa kushinda.

Unategemea kumfunga kwa mazingira gani?

Je siku ukikutana naye huyo mpinzani akiwa yupo fit hali itakuwaje?
 
Back
Top Bottom