Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
SIMBA RAHA JAMAN [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaona aibu wenzio mimi sioni aibu..timu inayopasua mioyo ya watu wakisikia pen
kweli umebebwa na ume bebeka ila timu hunaYaani Yanga ni viazi kabisa wameshindwa ndani ya dakika tisini halafu hata penalty? Sasa walitaka wasaidiwe nini jamani? Kweli hawa watu hawabebekwi! Ukibebwa unatakiwa kubebekwa!
Km rahisiBahatisheni sasa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
uwe na timu kama yanga uone iabu yaani aache kuona aibu mwenye usajili wa bilioni 3 na anaruka ruka tu
kweli umebebwa na ume bebeka ila timu huna
Nitakusubiri mpendwa Bantu Lady, stay safe.....Napumzika na mpira na JF kwa muda nisioujua Proved tutaonana Mungu akipenda...
Zina mwenyewe.. Ally Salim😂😂😂😂 nimecheka sana My dear. Lol.
Penalti hazina mwenyewe.
Kama hakuna team kwa nini hamkuwashinda?Kweli wameshinda ila hakuna timu pale
Mkifungwa sasaa. ..[emoji2][emoji2][emoji2]mnakua na hojaKwa watu wanaojua mpira ushindi wa penati si wa kufurahia....Na ndio maana kwenye kutoa Tunzo ya Mfungaji bora wananzengo wakasema tuondoe magori ya penati na pia hata magoli ya maza ,msigwa alisema ya penati hayahesabiwi.
Kama hujui malengo ya Simba na Yanga kumilikiwa na serikali nakupa pole.Ukifungwaa lazima ulete Hizi hoja za CCM kwenye mpira[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]daahhh....
Kanywe maji,unajizima data hutambui hata Bingwa wa Dunia wa Sasa Argentina ametoboa Kwa penati
Acha imani za kishirikinaNakubaliana na mchambuzi wako, mechi ilipaswa kumaliza dakika 90 na Yanga.
Lakini ukiona sinema yoyote ile ujuwe nyuma ya camera kuna madirector na maproducer.
Lamentations of the losersSioni kama kocha wa simba anastahili kufurahi sana kisa matuta. Mwalimu anatakiwa ajifunze kuifanya team icheze mpira mzuri sio kuungaunga dakika 90.
Mmeanza lawama kwa TTF mapema sana, jaribuni kujizuia.