Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Sijinyongi wala sinywi sumu, NBC tunabeba tena. Tuombe uzima utaikumbuka hii comment. Onjeni raha ya kushinda kombe...Kanunue kamba kwa mangi.Huu ni mwanzo tu.Ngebe zilizidi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijinyongi wala sinywi sumu, NBC tunabeba tena. Tuombe uzima utaikumbuka hii comment. Onjeni raha ya kushinda kombe...Kanunue kamba kwa mangi.Huu ni mwanzo tu.Ngebe zilizidi sana.
Mkifungwa sasaa. ..[emoji2][emoji2][emoji2]mnakua na hoja
Argentina winner WA world cup kupitia penalty
Ndugu shabiki... unamkumbuka mkandaji wako?mme wako
Robertinho hana mbinuMsikilize kocha GAMONDI...anasema SIMBA didn't create a clear chance...
Maneno ambayo niliyasema humu Jamii forum tangu mechi ya Simba day against Power DYNAMO..nikaonekana kama mimi ni YANGA
Peleka andiko fifa wafute penaltiesKheri wewe umesema ,mpira ni dakika 90 ,ushindi wa Penati si wa kufurahia.
Katika siku zote, leo ndiyo umeona ni siku nzuri ya kutusalimu?
Kocha ana kazi ya ziada. Jitihada sifuri.Dk 76.. SIMBA hakuna Muvi yoyote, kiungo hakina malengo., Team haiingii ktk box la mpinzani, team inaonekana kuchoka..
Mimi huwa napenda kujadili na mtu anayejuwa mpira.Acha imani za kishirikina
Simba imecheza as individual haijacheza kama timu.
Hii niliiona tangu mechi ya kwanza siku ya Simba day
Mmecheza vizuri sana.
Kwangu mimi binafsi naona nyinyi ndio wenye matatizo zaidi, mmeshindwaje kufunga kwenye game kama hii?
Mechi mmeikamata wapinzani hawaeleki wanacheza nini lakini bado umeshindwa kushinda.
Unategemea kumfunga kwa mazingira gani?
Je siku ukikutana naye huyo mpinzani akiwa yupo fit hali itakuwaje?
Ukweli mchungu huuHongereni Simba kwa ushindi wa matuta, mpira una matokeo katili.
Asiyeipenda Ccm bora aachane na Siasa, mission complete.
Wenye akili tu ndio watalielewa andiko hili.
DP karibuni sana Watanzania wote tumeridhia tuna raha.
Walio create chances nyingi wamefunga goli ngapi?Robertinho hana mbinu
Tears in Tangatimu bora imepoteza mbele ya timu mbovu daaah mpira unaumiza sana
Hivi na Ufaransa nao walilalama kwenye fainali ya kombe la dunia walipofungwa na Argentina kwa penalti?
Au huu ni utamaduni wa Utopolo tu?Visingizio ndio ada.