Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Mkifungwa sasaa. ..[emoji2][emoji2][emoji2]mnakua na hoja
Argentina winner WA world cup kupitia penalty

Sahihi kabisa dada. Brazil ilichukua kombe la dunia 1994 dhidi ya Italy kwa mikwaju ya Penalty, mwaka 2006 Italy ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty na 2022 Argentina ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty. Wengine historia hiyo hawaijui, ama walikuwa wananyonya au hawajazaliwa kabisa!
 
Acha imani za kishirikina

Simba imecheza as individual haijacheza kama timu.

Hii niliiona tangu mechi ya kwanza siku ya Simba day

Mmecheza vizuri sana.

Kwangu mimi binafsi naona nyinyi ndio wenye matatizo zaidi, mmeshindwaje kufunga kwenye game kama hii?

Mechi mmeikamata wapinzani hawaeleki wanacheza nini lakini bado umeshindwa kushinda.

Unategemea kumfunga kwa mazingira gani?

Je siku ukikutana naye huyo mpinzani akiwa yupo fit hali itakuwaje?
Mimi huwa napenda kujadili na mtu anayejuwa mpira.

Ukweli uliowazi bado timu zote mbili zinajengwa.

Nabi ilimchukuwa misimu miwili na kuvumiliwa ili Yanga kupata mafanikio.

Simba INA advantage kubwa kucheza super cup bila kujali matokeo itakayopata lakini watakuwa na timu, take it from me.

Yanga marekebisho ni machache kuliko Simba, niliwaambia hapa kuhusu Miquison aliyempa mkataba wa miaka mitatu kawaingiza chaka.

Kuhusu imani za kishirikina zipo huko, hizi timu zote mbili zinamilikiwa na serikali.
 
Hongereni Simba kwa ushindi wa matuta, mpira una matokeo katili.

Asiyeipenda Ccm bora aachane na Siasa, mission complete.

Wenye akili tu ndio watalielewa andiko hili.

DP karibuni sana Watanzania wote tumeridhia tuna raha.
Ukweli mchungu huu
 
Hivi na Ufaransa nao walilalama kwenye fainali ya kombe la dunia walipofungwa na Argentina kwa penalti?
Au huu ni utamaduni wa Utopolo tu?Visingizio ndio ada.

1994 Brazili ilichukua kombe la dunia dhidi ya Italy kwa penalty, 2006 Italy ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa penalty na 2022 Argentina ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa penalty. Utopolo hapo wanaona nini cha ajabu wakati uwanjani hadi mpira unakwisha walikuwa hoi. Ushindwe uwanjani na ushindwe na penalty pia? Tena huyo kipa wao anasubiriwa na Djibuti.
 
Back
Top Bottom