Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Sema mkuu baadhi ya tabiri zako kwenye mpira huwa nazikubali sana, japo ile ya Aucho umekosea kidogo uliposema atapaisha japo kukosa amekosa, kuna ile moja ya World Cup mwaka jana[emoji1369][emoji1369][emoji1369][emoji1369]
Mwanzoni kabisa mwa michuano baada ya Argentina kufungwa na Saudi Arabia na watu kuanza kuitabiria kuwa haitafika mbali, ukatabiri kuwa ndio itachukua kombe na ukatolea mfano wa Spain, ilivyofungwa na Switzerland kwenye mechi yake ya kwanza kule South Africa kwenye World Cup 2010 hadi kufanikiwa kuchukua WC
Kuna watu nikiona comments zenu kuhusiana na mpira najua hapa huyu kaongea uhalisia kaweka ushabiki pembeni ila kuna wengine akitabiri unaona kabisa huyu kacomment kwa mahaba tu