Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

[emoji1369][emoji1369][emoji1369][emoji1369]
Sema mkuu baadhi ya tabiri zako kwenye mpira huwa nazikubali sana, japo ile ya Aucho umekosea kidogo uliposema atapaisha japo kukosa amekosa, kuna ile moja ya World Cup mwaka jana

Mwanzoni kabisa mwa michuano baada ya Argentina kufungwa na Saudi Arabia na watu kuanza kuitabiria kuwa haitafika mbali, ukatabiri kuwa ndio itachukua kombe na ukatolea mfano wa Spain, ilivyofungwa na Switzerland kwenye mechi yake ya kwanza kule South Africa kwenye World Cup 2010 hadi kufanikiwa kuchukua WC

Kuna watu nikiona comments zenu kuhusiana na mpira najua hapa huyu kaongea uhalisia kaweka ushabiki pembeni ila kuna wengine akitabiri unaona kabisa huyu kacomment kwa mahaba tu
 
FEI TOTO NA MKUDE WANACHEKA CHOONI HUKO[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna huyu hapa
IMG-20230813-WA0006.jpg
 
hivi ni medali au medani?

"Neno" medani linamaanisha "eneo" au "uwanja" katika lugha ya Kiswahili. Linatumika kuelezea eneo ambalo shughuli fulani inafanyika au ambalo mchezo au tukio linatokea. Kwa mfano, "medani ya mpira wa miguu" inamaanisha uwanja wa mpira wa miguu, na "medani ya vita" inamaanisha eneo la mapambano au uwanja wa vita. Maneno kama "medani ya michezo," "medani ya siasa," au "medani ya biashara" yanatumika pia kumaanisha maeneo au uwanja wa shughuli hizo.
 
Ushindi wa penati si wa kufurahia.
Brazil ilichukua kombe la dunia 1994 dhidi ya Italy kwa mikwaju ya Penalty, mwaka 2006 Italy ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty na 2022 Argentina ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty. Wengine historia hiyo hawaijui.

NIMENUKUU
 
Kwa kipa gani pale simba mnajivunia simba hamna kipa yanga ilikuwa I inashinda makosa ya wachezaji
 
Brazil ilichukua kombe la dunia 1994 dhidi ya Italy kwa mikwaju ya Penalty, mwaka 2006 Italy ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty na 2022 Argentina ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty. Wengine historia hiyo hawaijui.

NIMENUKUU

Ushindi wa penati si wa kufurahia ,mpira ni dakika 90.
 
Mimi huwa napenda kujadili na mtu anayejuwa mpira.

Ukweli uliowazi bado timu zote mbili zinajengwa.

Nabi ilimchukuwa misimu miwili na kuvumiliwa ili Yanga kupata mafanikio.

Simba INA advantage kubwa kucheza super cup bila kujali matokeo itakayopata lakini watakuwa na timu, take it from me.

Yanga marekebisho ni machache kuliko Simba, niliwaambia hapa kuhusu Miquison aliyempa mkataba wa miaka mitatu kawaingiza chaka.

Kuhusu imani za kishirikina zipo huko, hizi timu zote mbili zinamilikiwa na serikali.
Mapema sana kusema Miquisson tumeingizwa chaka.

Leo kila mtu kacheza hovyo, nafasi pekee ambayo at least tumeona wakicheza vyema ni backlines.

Chemalon na Kennedy ndio waliokuwa mhimili wa timu, wamezima mashambulizi mengi lakini forward na viungo wote hawakuwa na game nzuri.

Timu ilikuwa haikabi, mipira pekee waliyokuwa wanaipata ni baada ya Yanga kuipoteza, hakuna mpira ambao nimeona Simba imepoka miguuni kwa wapinzani.

Mmefika sana golini (angalia kona 7 mlizopata dhidi ya 1 sio mchezo)

So kusema Miquisson tumepigwa bado sio muda sahihi hususani kwenye mechi ambayo wachezaji karibia wote wamecheza low.

Shida naiona ipo kwa Kocha na mifumo yake ya kubahatisha analazimisha timu icheze mipira mirefu ambapo tumeona mipira ilikuwa inadondokea kwa wapinzani halafu ku retrain position ni mtihani.

Tumeshinda ila hatujafurahishwa na performance.
 
Back
Top Bottom