njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za kuwafunua macho wana simba jinsi wanavyoibiwa na kunyonywa na Mo dewji
Kigwangwala the don amekuwa akichukizwa sana na simba inavyofanya vibaya tangu Mo aichukue huku bilions 20 zikiwa hazionekani, jamani si mumuchukue kigwa muende benki mkamuonyeshe kama 20 B zipo?
kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake bwasheee hatimaye Mwenyekiti wa simba kapiga simu kwa Bagalile na kujisalimisha
Tutarajie vyuma kutoka mamelodi sundowns au zamalek ,wydad kutua week hii na mishahara kupandishwa..usiulize sana mengine ya wapi anapata pesa hayakuhusu kamuulize CAG au Q NET
NI WAKATI WA FURAHA MSIMBAZI...KIGWA THE DON IN THE HOUSE.