Simba yaufyata kwa Kigwangwala, wampigia simu, kutia nguvu

Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za kuwafunua macho wana simba jinsi wanavyoibiwa na kunyonywa na Mo dewji

Kigwangwala the don amekuwa akichukizwa sana na simba inavyofanya vibaya tangu Mo aichukue huku bilions 20 zikiwa hazionekani.... jamani si mumuchukue kigwa muende benki mkamuonyeshe kama 20 B zipo?

kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake bwasheee hatimaye Mwenyekiti wa simba kapiga simu kwa Bagalile na kujisalimisha

Tutarajie vyuma kutoka mamelodi sundowns au zamalek ,wydad kutua week hii na mishahara kupandishwa..usiulize sana mengine ya wapi anapata pesa hayakuhusu kamuulize CAG au Q NET

NI WAKATI WA FURAHA MSIMBAZI...KIGWA THE DON IN THE HOUSE
View attachment 2289857View attachment 2289858
View attachment 2289856
Ikiwa piki piki alitaka kukopa kwa MO. Ndio aje ajambe ushuzi wake hana hela hata ya kumnunua mchezaji wa kawaida. Kunyimwa mkopo anasumbua watu.
 
kabebembelezwa leo anaweka nguvu mpya bado mda upo, vyuma vinavyoshuka ni hatari hata mshahara wa milion 85 wa Konde boy anaubeba pia, money talks my friend
Ni jambo jema yapo mengi ya kuchangia, ila usajili tumemaliza nafikiri umeona Okra Magic amekuja unyamani, leo tena bunduki ya kirusi AK47 ina shuka, Kigwangwalah aje tu yapo mengi ya kufanya sio lazima usajili
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
JamiiForums2077815692_310x364.jpg
 
Kwa hiyo baada ya hiyo simu, atasajili sasa?
 
subiri kigwa anashusha vyuma week hii vitatu ,CAG mwenywe anajua jamaa ni DON alichotaka ni simu ya kuombwa asaidie na keshapigiwa

Bado hajaambiwa bilioni 20 zimewekwa wapi ko hawezi fanya upuuzi kama huo.
 
Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za kuwafunua macho wana simba jinsi wanavyoibiwa na kunyonywa na Mo dewji

Kigwangwala the don amekuwa akichukizwa sana na simba inavyofanya vibaya tangu Mo aichukue huku bilions 20 zikiwa hazionekani, jamani si mumuchukue kigwa muende benki mkamuonyeshe kama 20 B zipo?

kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake bwasheee hatimaye Mwenyekiti wa simba kapiga simu kwa Bagalile na kujisalimisha

Tutarajie vyuma kutoka mamelodi sundowns au zamalek ,wydad kutua week hii na mishahara kupandishwa..usiulize sana mengine ya wapi anapata pesa hayakuhusu kamuulize CAG au Q NET

NI WAKATI WA FURAHA MSIMBAZI...KIGWA THE DON IN THE HOUSE.

View attachment 2289857
ELIMU yako ndogo Ndiyo maana unaandika haya.

Kigwa anapiga Sana kelele, amembeza Mo, so hana anachoisaidia Simba, Ndiyo maana akaambiwa km unaona Mo hafanyi kitu basi ssjili hata mchezaji mmoja, ili kwa nafasi yake basi awe anapiga kelele zenye tija.
 
Subiri kigwa anashusha vyuma week hii vitatu, CAG mwenywe anajua jamaa ni DON alichotaka ni simu ya kuombwa asaidie na keshapigiwa.
Habari uliyoleta hapa nimeisoma yote sijaona popote huyo Kigwa wako aliposema kaombwa msaada wa fedha za usajili, huu utoto wako wa kujitungia story mpaka lini.
 
Anayemwamini Kigwangala akapimwe uzito. Huyu ni tapeli lomolomo.
 
Amepigiwa simu kupewa updates ili aache kuropoka mitandaoni asiyoyajua, utopolo huwezi kuelewa jambo dogo kama hili?!
usilete makhasiriko sheikh utakaribisha masheitwaan..
 
Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za kuwafunua macho wana simba jinsi wanavyoibiwa na kunyonywa na Mo dewji

Kigwangwala the don amekuwa akichukizwa sana na simba inavyofanya vibaya tangu Mo aichukue huku bilions 20 zikiwa hazionekani, jamani si mumuchukue kigwa muende benki mkamuonyeshe kama 20 B zipo?

kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake bwasheee hatimaye Mwenyekiti wa simba kapiga simu kwa Bagalile na kujisalimisha

Tutarajie vyuma kutoka mamelodi sundowns au zamalek ,wydad kutua week hii na mishahara kupandishwa..usiulize sana mengine ya wapi anapata pesa hayakuhusu kamuulize CAG au Q NET

NI WAKATI WA FURAHA MSIMBAZI...KIGWA THE DON IN THE HOUSE.

View attachment 2289857
hahahhaa kigwangala anawasumbua sana MAKOLO FC
 
Jezi elfu 30 ila yanga inapata 1300 kila jezi hivi yanga utahira mtaacha lini ndugu zangu sasa mtaanza tena safari ya airport kupokea wageni nani aliwaroga na wala hamjishtukii.
 
Back
Top Bottom